Kongamano la Saba la Vijana KKKT

Kuwaimarisha vijana kwa maendeleo ya Kanisa na jamii endelevu.

Tarehe 5 – 9 Agosti, 2026. UDOM

(Gharama ya Ushiriki ni TZS 220,000)

(Malazi, chakula, na uendeshaji wa Kongamano tu).

Njia za Malipo
Bank

NBC BANK

Jina la Akaunti: ELCT MAKUMIRA PROJECT

Namba ya Akaunti: 014103001990

LIPA NAMBA ya Vijana (M PESA)

50123233

Jina: EVANGELICAL LUTHERAN CHURCH IN TANZANIA

Mwisho wa kujisajili: 30 Juni 2026
Mratibu wa Vijana KKKT:
+255 764 388 422
Mwenyekiti wa Vijana KKKT:
+255 655 485 211