Nguvu ya Maagano Saba ya Mungu
Chagua Format:

Nguvu ya Maagano Saba ya Mungu

by Rev. Dr. Allen Adam Mbiso

About This Book

Nguvu ya Maagano Saba ya Mungu ni mwongozo wa kibiblia unaofunua maagano ya Adamu, Nuhu, Ibrahimu, Musa, Daudi, Agano Jipya na Agano la Milele, na jinsi yote yanavyodhihirisha upendo, neema, ukombozi na kusudi la Mungu kwa mwanadamu. Kitabu kinaeleza ahadi, masharti, damu na muhuri wa kila agano, huku kikimwonesha msomaji jinsi yanavyotimia katika Yesu Kristo. Kwa kukisoma, utaimarisha imani yako katika ahadi za Mungu, kupata ujasiri katika maombi na kuelewa ushindi uliopo katika damu ya Yesu dhidi ya hofu na maagano ya giza. Hii ni eBook muhimu kwa Mkristo anayetafuta ufahamu wa kina, uhakika wa wokovu na maisha ya ushindi. Wasiliana na Mwandishi kupitia:

ambiso2003@gmail.com

Publisher KKKT DIGITAL
Published at August 1, 2026
ISBN 978-987-9993-6-1
Author Rev. Dr. Allen Adam Mbiso
Pages 92